SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mavazi Ya Kuvaa Endapo Una Mikono Minene
Mitindo

Mavazi Ya Kuvaa Endapo Una Mikono Minene 

Sote tuna ile part katika miili yetu ambayo tunaona haiko sawa ( insecurities ), inaweza kuwa mikono, miguu, tumbo, vidole, chochote ambacho unaona hakiko sawa na unatamani kukificha, kitu ambacho sisi tungeweza kukwambia ni kwamba your beautiful the way you are. Lakini kama unaona bado hujafikia sehemu ya kujikubali 100% tunakuletea hii series ya kujua nini uvae endapo kuna sehemu ya mwili wako ungependa isionekane au hata kama inaonekana basi in a good way, na leo tunaanza na mikono minene ambayo imekuwa requested na wengi.

Mikono hii hutokana na umri kwenda lakini tu si umri bali pia kuwa na mwili mnene, watu wenye miili minene wengi huwa na mikono minene, japo unaweza kumkuta ambae hana mwili sana lakini mikono yake ni minene tunaweza kusema ni vile tu umeumbwa hivyo, hizi ni tips ambazo zinaweza kukusaidia katika mavazi yako.

  • Vaa mavazi ya mikono mirefu yanayofikia kwenye kikonyo cha mkono

Hii ni quick fix, kama unataka kuficha mikono yako vaa nguo za mikono mirefu zinazo fikia kwenye kikonyo cha mkono, hakikisha haikubani na wala haiachii sana, isifike mpaka chini kwa maana utaficha mkono mzima, show some skin kidogo.

  • Kaa mbali na cap and puff sleeves

Aina hii ya mikono itazidi kufanya mikono yako ionekane mipana na kukufanya muonekano wako mzima uonekane mpana wakati unachotaka ni kupunguza attention maeneo hayo.

  • Epuka Mavazi Yenye Mikono Iliyoishia Pale Kwenye Sehemu Nene/Pana

Hakikisha kama ni top au gauni lako mikono yake imepita kidogo sehemu ambayo ni pana zaidi hii ni kutokana na kwamba itafanya mikono yako izidi kuonekana minene kuliko hata ambavyo ipo.

  • Chagua Off shoulder/Cold Shoulder au Sheer Tops

Kama unapenda kuonyesha ngozi kidogo basi hizi ni choices nzuri kwako,

Related posts

7 Comments

  1. click for more info

    … [Trackback]

    […] Read More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/mavazi-ya-kuvaa-endapo-una-mikono-minene/ […]

  2. แทงบอล

    … [Trackback]

    […] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/mavazi-ya-kuvaa-endapo-una-mikono-minene/ […]

  3. dig this

    … [Trackback]

    […] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/mavazi-ya-kuvaa-endapo-una-mikono-minene/ […]

  4. wapjig.com

    … [Trackback]

    […] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/mavazi-ya-kuvaa-endapo-una-mikono-minene/ […]

  5. dolato strain for sale in australia map

    … [Trackback]

    […] Find More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/mavazi-ya-kuvaa-endapo-una-mikono-minene/ […]

  6. click for more info

    … [Trackback]

    […] Find More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/mavazi-ya-kuvaa-endapo-una-mikono-minene/ […]

  7. buy magic mushroom online

    … [Trackback]

    […] Here you will find 44846 more Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/mavazi-ya-kuvaa-endapo-una-mikono-minene/ […]

Comments are closed.