Naseeb Abdul au Diamond Platnumz ni mwanamziki mkubwa sana ambae hakuna mtu asiye mjua Nchini Tanzania, Diamond na familia yake imeenda mapumzikoni nchini Germany ambapo pia Diamond ata fanya show. Wame onekana wakiweka picha zao katika mitandao ya kijamii lakini mavazi ya mama diamond yamepokelewa vibaya na wa Tanzania wengine wakisema umri wake umeenda kwa mavazi yale na wengine kuthubutu kumfananisha na mlinzi,
German ni baridi ina wezekana ndio sababu ya mama huyu kuvaa koti na hio suruali na hizo raba lakini pia ina onekana si baridi sana, tunamuona zari akiwa ame valia skin tight nyepesi pamoja na ki gauni kifupi,
tumemuona mama Diamond katika baadhi ya mavazi akiwa amependeza
hatujui ni nini kimetokea hapa lakini tumejaribu kutafuta mitindo ya watu wazima katika kipindi cha baridi na kwa mwili wa mama diamond inge mfaa na angependeza zaidi.
Related posts
5 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/mavazi-ya-mama-diamond-yawa-gumzo/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/mavazi-ya-mama-diamond-yawa-gumzo/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/mavazi-ya-mama-diamond-yawa-gumzo/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/mavazi-ya-mama-diamond-yawa-gumzo/ […]
… [Trackback]
[…] Read More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/mavazi-ya-mama-diamond-yawa-gumzo/ […]