SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mavazi Yanayofaa Kwa Wenye Maziwa / Matiti Makubwa
Mitindo

Mavazi Yanayofaa Kwa Wenye Maziwa / Matiti Makubwa 

Kila binadamu ana kitu ambacho kimepungua au kuzidi mwilini mwake, kuna wale ambao wana matiti madogo, kuna ya wastani na kuna ambao tunayo makubwa, Ikiwa tulisha ongelea kuhusu matiti madogo leo tumeona tutoe Tips za wenye makubwa, mtajiuliza kwanini tumeruka kwenye wastani? kawaida mavazi mengi yanayo tengenezwa huwa yanalenga watu wenye aina fulani ya mwili ambao upo sawia, mfano mtu ambae sio mrefu wala mfupi sana, ambae sio mwembamba wala mnene sana etc. Watu wenye miili ya wastani ni rahisi kupata mavazi yanayo wafaa kuliko wale ambao wamepungua au kuzidi.

Back to the topic, watu wenye matiti makubwa huwa wanapata shida katika mavazi, cleavage inaweza kuzidi, vifungo kutokufunga vyema kwenye blouse na magauni ambayo yanafit kote juu na chini ni bahati kuyapata. Leo tunakuletea Dorathy Bachor ambae alikuwa mshiriki wa big brother Nigeria na ana big boobs, tumetoa few tips kutoka kwake na namna ambavyo zinaweza kukusaidia na wewe.

  • The Wrap Dress / Jumpsuit

Wrap dress ni solution nzuri kwako, unaweza ku-adjust kifuani utakavyo lakini pia inaonyesha umbo lako vyema hasa kiunoni.

  •  The Turtleneck

Pale ambapo hujisikikii kuacha kifua chako wazi basi kuchagua vazi lenye shingo ndefu ( turtle neck ) ni chaguo zuri, hakikisha unavaa ile ambayo kitambaa chake si kizito na pia hakikisha una style vyema vazi la chini kama ni gauni lifunge na mkanda.

  • The Scoop Neckline

Kama Unaona Deep V ni too much na turtle neck ni stifling basi vaa square, scoop, au boatneck, plain top ni nzuri kama utavalia jeans au casual look au layering na pieces nyingine.

“Square and scoop necklines are nice for when I want to feel more open, but not go crazy on cleave.

well hizi ni baadhi tu ambazo tumeona Dorathy anatumia kuna mavazi mengi na namna nyingine ambazo unaweza ku-dress up kifua chako, kubwa usikifiche wala kuwa uncomfortable nacho own your body.

Related posts

3 Comments

  1. hop over to here

    … [Trackback]

    […] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/mavazi-yanayofaa-kwa-wenye-maziwa-matiti-makubwa/ […]

  2. สมัคร superslot

    … [Trackback]

    […] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/mavazi-yanayofaa-kwa-wenye-maziwa-matiti-makubwa/ […]

  3. weed delivery toronto

    … [Trackback]

    […] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/mavazi-yanayofaa-kwa-wenye-maziwa-matiti-makubwa/ […]

Comments are closed.