SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mbunifu Bijoux Na Collection Yake Mpya “RAFIKI” Katika Mercedes-BenzAfrican Fashion Festival Ghana
Mitindo

Mbunifu Bijoux Na Collection Yake Mpya “RAFIKI” Katika Mercedes-BenzAfrican Fashion Festival Ghana 

Mbunifu kutoka Tanzania tunaemjua kwa jina la Bijoux Trend ameonyesha collection yake mpya katika runway yaĀ Mercedes-BenzAfrican Fashion Festival inayo fanyika Nchini Ghana, Bijoux ni moja ya wabunifu wazuri kabisa wa kike kutoka Tanzania, moja ya kitu ambacho tunakipenda kutoka kwake ni jinsi ambavyo anatumia batiki na kulifanya livalike kisasa oh kabla hatuja sahau ni moja kati ya wabunifu wachache ambao wanatengeneza batiki zao wenyewe,

Yes Bijoux hanunui batiki mtaani anatengeneza mwenyewe na ndio maana zipo unique na batiki za wabunifu wengine (let’s save this to another day) leo tuongelee collection yake ambayo ame ionyesha huko Ghana je yaliyomo yamo?

Lets start kwa kusema nguo zinavalika, kwa wale ambao mnaona kuvaa batiki ni uzee, Bijoux is here to prove you wrong, unaweza kuvaa casual, au kwenye events mbalimbali…

Kwanza kabisa she made a statement kwa kumueka huyu dada alikua bra’less well Yas hiki ndicho huwa tunaongelea kuhusu leaving a mark, kama ulikuwepo katika hii show lazima ukiondoka uongelee huyu dada well done Bijoux others should take notes.

Katika hii collection this skirt is our favorite, so sexy showing some thighs in ruffles, unaweza kuvaa hii skirt beach au kwenye mitoko ya usiku, yeye ameamua kuiweka a bit casual kwa kumvalisha model wake crop top na sneakers.

The off shoulder dress tumeipenda pia, ipo comfortable yani haibani unaweza kuivaa katika mizunguko yako ya hapa na pale na hata katika harusi zile za ufukweni.

Can we talk about these two pieces? simple right? huwezi hata kunotice ni batiki kwa namna ilivyo kuwa styled, ilivyobuniwa na finishing zake zipo on point.

We love the ruffle zinazo endelea hapa, so nice & chic & is that batiki fanny pack? oh yes

Well lets say Bijoux haja-tu disappoint japo tunarudi kwenye swala lile lile la kuwa more creative, fabric ziko poa ila mishono kawaida sana, tukiangalia sasa hivi jinsi ambavyo wabunifu wanajitahidi katika kubuni vitenge kwa namna tofauti, tungependa kuona ile nguvu Bijoux anaiweka kwenye batiki pia ukizingatia ni yeye pekee ambae anafanya batiki kwa sasa.

Related posts