SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mbunifu Fifi Sugar Designs Afuata Nyayo Za Kate Middleton Kwa Bride Maids Kuvaa Rangi Nyeupe
Mitindo

Mbunifu Fifi Sugar Designs Afuata Nyayo Za Kate Middleton Kwa Bride Maids Kuvaa Rangi Nyeupe 

Wanasema rules are meant to be broken, kuna rules mbalimbali za nini unapaswa kuvaa na nini upaswi kuvaa katika harusi kama wewe ni mgeni mualikwa au msimamizi moja wapo ni kutokuvaa rangi nyeupe as inasemekana utamu-outshine bibi harusi.

Mwaka 2011  Kate Middleton  alivyoolewa na Prince Wimmian alikuwa na bride maids wanne ambao wote walivaa rangi nyeupe, which everyone was talking about na leo tumemuona mbunifu kutoka Tanzania, Elfrida Emmanuel au Fifi Sugar Designs alifunga ndoa huku akiwaruhusu bride maids wake kuvaa nyeupe, in short her wedding theme was white.

bride maids wake walivaa pure white feather off shoulder dress, wakati mwenyewe alivaa off white mermaid wedding dress to make a difference and stand out, we love her dress and the simplicity of her makeup, hair style and jewelry.

 

Unaweza kujiuliza kichwani can your bride maids wear white without outshining you? Of course yes bride maids wako wanaweza kuvaa nyeupe endapo utapenda wavae nyeupe, on outshining you bride maids kawaida huvaa simple dresses hazina veils au train na bibi harusi always kuna kuwaga na extra sparkle kwenye vazi lake so lazima uta-stand out as a bride.

Well afromates what do you think unaweza kuwaruhusu bride maids wako wavae nyeupe?

Related posts

5 Comments

 1. sig spear for sale

  … [Trackback]

  […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/mbunifu-fifi-sugar-designs-afuata-nyayo-za-kate-middleton-kwa-bride-maids-kuvaa-rangi-nyeupe/ […]

 2. wapjig.com

  … [Trackback]

  […] Find More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/mbunifu-fifi-sugar-designs-afuata-nyayo-za-kate-middleton-kwa-bride-maids-kuvaa-rangi-nyeupe/ […]

 3. uniccshop.bazar

  … [Trackback]

  […] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/mbunifu-fifi-sugar-designs-afuata-nyayo-za-kate-middleton-kwa-bride-maids-kuvaa-rangi-nyeupe/ […]

 4. Buy Kimber gun

  … [Trackback]

  […] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/mbunifu-fifi-sugar-designs-afuata-nyayo-za-kate-middleton-kwa-bride-maids-kuvaa-rangi-nyeupe/ […]

 5. IC Markets

  … [Trackback]

  […] Read More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/mbunifu-fifi-sugar-designs-afuata-nyayo-za-kate-middleton-kwa-bride-maids-kuvaa-rangi-nyeupe/ […]

Comments are closed.