SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

MBUNIFU HAMEED TOKA MEDDY FASHION HOUSE KAJA NA BRAND YAKE YA BOXERS
Mitindo

MBUNIFU HAMEED TOKA MEDDY FASHION HOUSE KAJA NA BRAND YAKE YA BOXERS 

Hameed the designer toka Meddy Fashion House na boxers collection.

 1. Kwa muda gani sasa umekuwa ukifanya kazi ya ubunifu wa mavazi?

Hameed: For 8 years nipo ndani ya shughuli/kazi ya ubunifu.

PATA KUMJUA HAMEED ABDUL MBUNIFU KUTOKA MOROGORO

 1. Great. Wapi ulipata idea ya kubuni boxers za kiume? Why male boxers na si vingine?

Hameed: Wazo la kubuni male boxers lilikuja nilipomtembelea rafiki yangu dukani kwake(anauza nguo za dukani)alikua ameingiza mzigo wa boxers na anapanga dukani. Nami nikajiwa na shauku ya kuziangalia zile boxers. Hapo ndipo lilipo nijia wazo ,na wazo hilo limenijia kwa angles kama tatu hivi:

 • Wapi naweza pata pure cotton materials
 • Nitawezaje kutofautisha mvuto wa details za materials (mvuto wa rangi)
 • Nitawezaje kupata material cotton na laini ili Boxers nitakazo tengeneza ziishe na kero ya kumsumbua mvaaji. Iliniichukua takribani wiki kupata majibu ya maswali niliyojiuliza na nikaanza kuyafanyia kazi.

 1. And kuna brands nyingi za boxers, why mtu avae Hameed boxers? Zina qualities zipi ziitofautishayo na zingine?

Plus materials gani umetumia and why African prints?

Hameed: Kwa nini mtu avae brand ya @meddyfashionhouse, Kama nilivyodokeza awali kwamba utashawishika kuvaa boxer za brand yangu kwa sababu:

 • .Materials ninayotumia ni pure cotton
 • .Material ninayotumia ni laini sio ngumu haileti kero kwa mvaaji.
 • . Materials ninayotumia yana mvuto na rangi za kipekee (zinavutia kwa mvaaji)
 • .Pia ubora wa ushonaji umezingatiwa

 1. Watanzania wengi wamekuwa nakujivuta katika kusupport kazi ama bidhaa za  nyumbani wakisema havina viwango. Hili kama mbunifu walionaje na laweza kutatuliwa vipi?

Hameed: Yes! Changamoto hiyo ipo ya watanzania kujivuta katika kusupport bidhaa za nyumbani. Hii ni Imani iliyojaa kwenye nafsi za watanzania but nowadays tuko vizuri tofauti na enzi za kina baba wa  mabibi zetu. Imani tulizorithi,zitaondoka kwa kuondoa Imani za zamani kuwa hatuwezi na hatua viwango.

Mfano wangu halisi ni huu: Mtu /watu wanapita dukani kwangu na kuvutiwa na midoli iliyovalishwa nguo kutoka @meddyfashionhouse na kuingia ndani, unapowambia kuwa hizi nguo tumeshona wenyewe hawataki  kuamini kabisa na wengine hudhani kwamba tunawaongopea. Hili tunakoelekea litaondoka. Nina Imani hiyo.

Interview imefanywa na @willibard_jr

Related posts