SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mc Pilipili & Mena Send Off Party Outfits
Mitindo

Mc Pilipili & Mena Send Off Party Outfits 

Jana ilikuwa send off ya Emmanuel Mathias A.K.A Mc Pilipili, wengi tulikuwa tunasubiri kuona hii sherehe ya kuelekea kwenye big day ikianza kwa maana amesha ongea mengi kuhusu harusi yake na namna ambavyo anataka iwe. Wakati wengine wakiwa wanasubiri mashamla shamla sisi tulikuwa tumeweka jicho letu katika maavazi, naam watavaa nini? na kutoka kwa mbunifu gani.

Kitu ambacho tumekipenda ni kwa Mc Pilipili na mkewe mtarajiwa kuchagua wabunifu kutoka Tanzania, Mc Pilipili alivalishwa na kitupe wakati mkewe mtarajariwa amevalishwa na mbunifu Mac Couture.

Mena alivaa Mac Couture, pink column dress yenye lace cape, we love everything about the dress, kuanzia design, urefu, rangi na kila kitu concern yetu ilikuwa amebanwa tu, vingine vyote on point.

Wakati Mc Pilipili yeye alivaa hizi two pieces by Kitupe ni kama Nigerian wear hivi, tumependa rangi, ubunifu pia kitu ambacho tumekiona ni kwamba Kitupe angejaribu kuangalia urefu wa mteja wake kabla ya kumtengenezea hii shirt, lakini pia ingependeza zaidi kama theme ya Mke mtarajiwa na mume zingeendana somehow tunaona kama mke amemfunika mume.

Well afromates tuambie views zako kwenye hii mitoko yao.

Picture credit @shereheyako

Related posts

2 Comments

  1. ดริปผิว นครศรีธรรมราช

    … [Trackback]

    […] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/mc-pilipili-mena-send-off-party-outfits/ […]

  2. see this site

    … [Trackback]

    […] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/mc-pilipili-mena-send-off-party-outfits/ […]

Comments are closed.