Denola Grey (Denola Adepetun) ni style blogger, Fashion consultant na Media presenter, kila tunapo muona Denola huwa tuna mfananisha na Olivier Rousteing fashion designer na creative director wa Balmain, kuna kitu between them kinacho tufanya tuwafananishe kama si style basi feature za uso wao na umbo kufanana.
Denola Grey amekuwa Man Crush Monday wetu leo kutokana na his style, jinsi ambavyo huwa ana jitaidi kuongeza something extra kwenye muonekano wake ili kutoonekana sawa na wengine, hapa ndipo kwa wanaume kujifunza, wanaume wengi hawajui kwamba kuna accessories na namna nyingi za kufanya vazi lako lionekane tofauti, si kila siku suit & tai kawaida, hii hufanya wengi waoenekane sawa na wengine hasa makazini na kwenye red carpet, fikiri nje ya box.
In doubt wear black lakini you can always a little bit of color kama yeye alivyo ongezea na white coat na gold & black shoes
Usiwe muoga wa rangi we say shouting colors are for blacks – japokuwa huwa wanasema black wakae mbali na colors lakini rules are meant to be broken, jaribu kitu cha tofauti, add color katika muoekano wako, ina saidia kuchangamsha ulimwengu wako pia.
block it, mix it na jaribu kitu kipya, love the rope bow tie, so unique
have that gentlemen look, grow up a little bit, less accessories
why full suit when you can rock a denim trouser and still look presentable?
well one color suit dont hurt no body
Related posts
3 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/mcm-nigerian-style-blogger-denola-grey/ […]
… [Trackback]
[…] Here you will find 94579 more Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/mcm-nigerian-style-blogger-denola-grey/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 33168 additional Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/mcm-nigerian-style-blogger-denola-grey/ […]