Barnaba ni moja kati ya wasanii wa muziki pendwa hapa Tanzania, ana jiita Barnaba boy Classic ina wezekana hilo la classic aliliweka kutokana na sauti yake nzuri katika muziki lakini leo tuna muweka Clasiic kutokana na mitoko yake. Unaweza husi mnotice kutokana na kuto kuwa na show off ila we can say Barnaba anajua jinsi ya kupangilia mavazi yake kuanzia nywele hadi kiatu.
For a rasta that he is wengi huwaga wanavaa ili mradi lakini yeye ni tofauti his choice of colors is simply perfect
linapo kuja swala la accessories napo hayupo nyuma
Barnaba ni mpenzi wa rangi na rangi zina mpenda pia apo ame vaa greenish ambayo ni rangi ya mwaka 2017 ame ipangilia vizuri na ame pendeza mno
Casual game too stron, who goes wrong with white T-shirt na black jeans hamna right?
Barnaba Classic bring out his classic man and we love it, blown suit na kaki coat, show game on point
Huyo ndio alikuwa Man Crush Outfit Of The Day,tupe maoni yako kupitia
Instagram -afroswagga
Facebook – afroswaggamag
Twitter – afroswaggatz
Related posts
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…