SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

MCOTD- NISHERX
I'm A Celebrity

MCOTD- NISHERX 

Nisher ni producer, director pia ni artist, ni mkaka ambae tume anza kumsikia kipindi kidogo lakini ana maintain ule umaarufu wake taratibu bila papara, kitu kimoja ambacho sisi tume kiona kwetu ni kwamba this brother anajua kuvaa, havai kibongo bongo hata kidogo. Ana ule muonekano wa casual ila a star look. sio too much na wala sio less hii ndio sababu ya kuwa Man Crush Outfit of The day wetu.

14448168_489087371299507_7940506429851435008_n

14624635_1692951114351918_202077403822948352_n

15056681_132833823867489_7229114297782108160_n 15101772_244408739310362_4164821106802294784_n

kuona zaidi kuhusu nisher bonyeza hapa

 

Related posts