Man Crush Outfit Of The Day ina enda kwa mwanamuziki wa bongo flava Bw. Ommy Dimpoz. Kwa wale amabao mlikua hamjui Ommy ameanza muziki 2011 na kibao chake cha kwanza kiliitwa “nainai” lakini leo hatupo hapa kuongelea muziki wake bali tunaongelea style yake ya mavazi.
Tukiongelea Most stylish men celebrity Tanzania basi huwezi kumuacha Ommy, anajua kujipangilia kutokana na vile alivyo
havuki mipaka ya kuwa too casual au too complicated huwa ana simama katikati yaani a middle fashionable guy
Si mtu wa kuogopa rangi ana vaa chochote, na kizuri kutoka kwake ana jua whats trending na kipi kime pitwa na wakati
ni mzuri katika accessorizing pia. Way to go Ommy upo nje ya worse dresses celebrities.
Related posts
4 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/mcotd-ommy-dimpoz/ […]
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/mcotd-ommy-dimpoz/ […]
… [Trackback]
[…] Read More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/mcotd-ommy-dimpoz/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/mcotd-ommy-dimpoz/ […]