SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

MCOTD – SAIDI JUMA HASSAN “CHEGGE CHIGUNDA”
Mitindo

MCOTD – SAIDI JUMA HASSAN “CHEGGE CHIGUNDA” 

┬áMan Crush Outfits Of Today ina enda kwa msanii wa muziki wa kizazi kipya ambae anaitwa , Saidi Juma Hassan au “Chegge Chigunda”, ukilisikia jina lake una weza uka sema ni mtu fulani mgomvi au yuko rafu, Wazungu hawakukosea kusema “don’t judge the book by its cover” au wazee wetu walivyo sema usimtukane mamba kaba hujavuka mto., kwa sababu jina lake na mwenyewe anavyo jiweka ni tofauti.
13414201_1079595658782911_2041051984_n
Kwa sasa tuna weza kusema Chegge ni moja kati ya wasanii wa kizazi kipya wanao jua kuvaa waka pendeza, his style ni simple na smart
13549617_1073424926084959_26629211_n
Chegge aliwahi kutamba na vibao kama “lover boy”, “my darling” na “twenzetu”14032812_171933433216976_21379429_n
Ukimuangalia Chegge so mtu wa rangi rangi sana ana penda rangi zilizo tulia na mara nyingi huvaa rangi moja 14156182_607292306114739_1319945531_n
Chegge ni moja kati ya wasanii wanao unda kundi la TMK kutoka Temeke, Accessories ambazo utamuona nazo mara kwa mara ni Miwani, Cheni, Kofia na Saa14156229_273676039684421_740495521_n
Tuna penda style ya chegge kwa maana ipo katikati sio too much wala sio mbaya.
14350417_1086660501430356_1383083229_n

Related posts