SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

MCOTD – WILDAD AGRIPA KUTOKA THE INDUSTRY
Mitindo

MCOTD – WILDAD AGRIPA KUTOKA THE INDUSTRY 

Wildad ni mwanamziki anae chipukia ambae yupo chini ya Lebo ya The Industry inayo milikiwa na Nahreal na Aika wa Navy kenzo. Wildad ana wimbo wake unao kwenda kwa jina la Get It On ambao una fanya vizuri kwa sasa.

Unapo pita kuangalia kurasa yake ya Instagram (bonyeza hapa kuona)  kama ni mtu mwenye jicho la tatu ni lazima utanotice kwamba Wildad si kama wavulana wengine ambao wanajua ukivaa suruali na shirt basi utakua umesha tokelezea, yeye ana jua ku pull out an outfit akapendaza hata kama in a simple way. Na hio ndio sababu kubwa iliyo mfanya leo akawa Man Crush Outfit Wetu of The Day.

The 80s & 90’s tumependa color coordination zime poa kiume yet kapendeza mno

13712366_1567268566910425_837874098_n

black black black13712546_512719278921604_1904004986_n

denim on denim lakini rangi tofauti, this look is calmer with earth colors 14033626_608672202645932_846393152_n

the shabba ranks look14474151_213227039118081_2937611026050318336_n

nyeupe, nyeusi na brown boys take notes kwa jinsi huyu kaka ana vaa ana weza kuingia popote wakati wowote

15258663_140886829727028_2747568751950954496_n

tuna penda kwamba vyovyote anavyo vaa asahau ku accessorize na tuna rudia tena rangi zilizo tulia zina weza kukufanya u stand out mara nyingi ni wewe tu na unavyo weza kuji style.

Instagram – afroswagga

Twitter – afroswaggatz

Facebook – afroswaggamag

 

Related posts