SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Meghan Markle Living In Colorful Outfits
Mitindo

Meghan Markle Living In Colorful Outfits 

Kama hukusikia habari kwamba Meghan Markle na mumemwe Prince Harry waliamua kuhama kutoka katika royal family na kuanza maisha yao binafsi basi leo ndio tunakujuza. Well katika maisha u-royal kuna vitu vingi unakatazwa kuanzia mavazi, urembo etc mfano:

  • Bright Colors Are Necessity For The Queen
  • Hats For Women Are Must
  • Coats Must Stay On
  • Nails Are To Be Kept Subtle

Na nyinginezo nyingi, well hivi karibuni tumeona Meghan na mumewe wakiwa wamerudi London kwa ajili ya kumalizia slate of loyal duties na appearance in honer of the Endeavor Fund, Meghan alivaa blue pencil dress kutoka kwa mbunifu Victoria Bekham, well tulizoea kumuona Meghan akiwa amevalia Navy Blue’s hizi ni zile deep blue lakini safari hii amechagua bright color.

Walionekana tena wakiwa England katika Mountbatten Music Festival at the Royal Albert Hall event in London wakiwa wamevalia red matching assembles Meghan akiwa amevalia red Safiyaa gown ambayo ilikuwa na floor-length cape,na puffed sleeves, amemalizia muonekano wake kwa ku-accessorize na statement pieces ambazo zilimatch na apple red design, alivaa drop earrings kutoka kwa Simone Rocha, Aquazzura pumps na Manolo Blahnik clutch.

Prince Harry also cleaned up nicely for the event, as he donned a red embroidered coat and military regalia. Don’t they look Love-ly?

Related posts