SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Meghan Markle Wore 3 Dresses In A Day And Not One Of Disappointed Us
Mitindo

Meghan Markle Wore 3 Dresses In A Day And Not One Of Disappointed Us 

Jana ilikuwa Meghan Markle day ameonekana kuhudhuria sehemu tatu tofauti na zote akiwa amebadilisha mavazi ( waliosema upele umpata asie na kucha seems like the Meghan zimeanza kuota), She slayed those 3 dresses like no one’s business na tunaweza kusema ameweza kumaintain her royalness without being a bore.

Meghan alianza siku yake kwa ku-attend Royal Air Force’s centenary celebration akiwa amevalia gauni jeusi lenye  Sabrina neckline, nude pumps na clutch zote zikiwa zimetoka katika brand ya Dior alimazia muonekano wake na tephen Jones fascinator kichwani, simple earrings na no make up makeup look, She looked beautiful. 

Masaa machache baadae Meghan alionekana Dublin akiwa na Prince Harry walienda kumtembelea Irish prime minister Leo Varadkar akiwa amevalia gauni ya dark green kutoka kwa mbunifu Givenchy, amemalizia muonekano wake na beige heels, handbag ya brown na nywele alirudisha nyuma, lets say alitoa tu fascinator aliyovaa asubuhi na kubadilisha gauni na viatu na pochi, anyways the dress was perfect for her body. 

Wakati jioni Meghan alionekana akiwa ameenda katika garden party hosted by the British Ambassador to Ireland akiwa amevalia black cocktail dress kutoka kwa mbunifu Emilia Wickistead, amemaliza muonekano wake na black pumps na gold & black clutch, huku akiwa ameachia nywele zake na makeup ikiwa kidogo inaonekana,

Tuambie ni outfit ipi kati ya hizi tatu ambayo kwako umeona imempendeza sana?

 

Related posts