Meghan Markle na mumewe Prince harry hivi karibuni wametangaza kwamba wana expect mtoto wao wa kwanza, kwa sasa wapo kwenye royal tour ya Commonwealth halfway across the globe. Kuanzia October 16 mpaka 31, wawili hawa watakuwa kwenye hii tour na watatembelea Australia, Fiji, the Kingdom of Tonga, and New Zealand.
Tour yao ni ya education- and serviced-based itinerary centered around environmental conservation, youth leadership, and rehabilitation for servicemen and women, tunategemea more picture and more slayage. Meghan amekuwa akituonyesha looks mbalimbali & we are here for the slayage
Meghan alifungua tour yake akiwa amevalia hii shift dress nyeupe kutoka kwa mbunifu Karen Gee na nude Stuart Weitzman pumps, huku akamalizia muonekano wake na no makeup makeup look ( she loves to keep her makeup simple) na accessories kutoka kwa mama mkwe wake the late Princess Diana.
Siku ya pili Meghan & Prince Harry waliamua kuwa more casual, ambapo Meghan alivalia Maison Kitsuné white blouse, black denim jeans, black boots na gray blazer to make it look not so casual while the hubby was in blue shirt, black trouser and brown shoes they, the casual couple everybody aspire to be.
While in Fiji Meghan & Prince Harry served us two island looks ambazo tulizipenda sana tulimuona akiwa katika hii stripes dress akiwa amevalia na hizi strap flat sandals akiwa amemalizia na miwani, she looked like an island girl.
Our favorite ilikuwa hii ambapo yeye na mumewe wali-match kwa kuvaa floral prints, Meghan showing us baby bump ina ruffle dress with pom pom details akiwa amemalizia na viatu aina ya wedge kutoka kwa Castañer. “don’t they look cute?”
Meghan gave us royal looks in this two dresses ambapo alivaa white Zimmermann dress,white Stephen Jones fascinator akamalizia na black clutch na black pumps, monochrome at its best.
We loved this black version too
Meghan wore this blue caped gown by Safiyaa wakati wakiwa wameenda State Dinner hosted by the president of Fiji.
Harry and Meghan meet with the King of Tonga akiwa amevalia hii white studded dress amemalizia na black pumps na black clutch kama ukiangalia hizi picha kwa makini utagundua kuna baadhi ya vitu Meghan anarudia kuvaa kama hii black clutch na hizi pumps, moral of the story nunua vitu ambavyo unaweza kurudia kuvaa mara nyingi uwezavyo in different styles.
In the middle of all this slayage Meghan ame make a very small wardrobe malfunction kwa kusahau kutoa hii tag kwenye nguo but who cares? it happened to us so many times.
Which one is your favorite look?
Related posts
4 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Here you can find 3251 more Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/meghan-markles-slaying-her-pregnancy-on-her-royal-tour/ […]
… [Trackback]
[…] Here you can find 97499 additional Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/meghan-markles-slaying-her-pregnancy-on-her-royal-tour/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 38559 additional Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/meghan-markles-slaying-her-pregnancy-on-her-royal-tour/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/meghan-markles-slaying-her-pregnancy-on-her-royal-tour/ […]