SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Melania Trump Wearing Casual Outfit & Flotus Cape
Mitindo

Melania Trump Wearing Casual Outfit & Flotus Cape 

First Lady of the United States Melania Trump ameonekana kwenda kuangalia au kuwajulia hali walio kumbwa na mafuriko mjini Huston, Texas. Mara ya kwanza kushuka kwenye ndege alikuwa amevaa heels akasababisha mishangao unavaaje heels kwenye mafuriko sasa?

kama alisikia au alijua Melania akaenda kubadilisha outfit yake na you have never seen Melania this casual, alivaa black & white outfit

Amevaa skin jeans nyeusi ambayo aliikunja kidogo kwa chini (swagg), button down shirt ambayo alikunja mikono, Akamalizia na raba znyeupe zenye weusi huku akiwa ame accessorize na miwani mweusi na kofia nyeusi yenye maandishi meupe ya Flotus. We love this outfit sana

Related posts

Leave a Reply