First Lady Melania Trump na mumewe wapo England kwa kina Meghan Markle, and she is serving us all the royal looks akiwa huko japo hii ambayo amevaa njano ndio imetuvutia zaidi, We mean Melania went all in with this yellow dres, Its like she is saying “Am Here And You Will Notice Me.
Melania was not there to play, she wore buttercup gown with shoulder capes yenye rangi ya njano akimalizia na pumps za rangi ya njano pia ameachia nywele zake lets say she looked like an angel only in yellow dress instead of white.
Melania remind us of Princess Diana blue strapless dress ambayo ipo same na ya Melania only ya Melania ina cape ya kwake ilikuwa haina mikono lakini pia alivaa na blue shoes.
Related posts
10 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Here you can find 66119 additional Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/melenia-trump-shined-in-yellow-dress-for-dinner-in-england/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/melenia-trump-shined-in-yellow-dress-for-dinner-in-england/ […]
… [Trackback]
[…] Read More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/melenia-trump-shined-in-yellow-dress-for-dinner-in-england/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/melenia-trump-shined-in-yellow-dress-for-dinner-in-england/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/melenia-trump-shined-in-yellow-dress-for-dinner-in-england/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/melenia-trump-shined-in-yellow-dress-for-dinner-in-england/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/melenia-trump-shined-in-yellow-dress-for-dinner-in-england/ […]
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/melenia-trump-shined-in-yellow-dress-for-dinner-in-england/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/melenia-trump-shined-in-yellow-dress-for-dinner-in-england/ […]
… [Trackback]
[…] There you will find 15424 additional Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/melenia-trump-shined-in-yellow-dress-for-dinner-in-england/ […]