Kama mwezi mmoja nyuma tuliongelea kuhusu men choker kuwa zinakuja kwa kasi kama ulikosa bonyeza hapa kusoma, na zime pita siku kadhaa tunamuona Tanzania own stylish men a.k.a bebe wa Vee Money akiwa ame rock choker tena hii ni two in one

We all know Jux ana penda accessories so alivaa hii choker na mkufu mrefu kidogo, hereni, pete,miwani na bracelet

Katika mavazi alikuwa casual na white tee,raba nyeupe pia na suruali ya kaki, Swali ni Je mna i feel hio choker hapo au kazingua?

Tuambie kupitia

Instagram – afroswagga

Facebook – afroswaggamag

Twitter – afroswaggatz

Comments

comments