SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Men Fashion Week Nigeria 2017
Mitindo

Men Fashion Week Nigeria 2017 

Well kitambo kidogo nchini Nigeria walikuwa na the Men’s Fashion Week 2017 toka 13th to 15th Oktoba na leo twawaletea runway highlights yaani designers walioshowcase collections zao na kuweza kukonga nyoyo zetu.

Kutoka nchini Rwanda ni designer Moshions ambaye collection yake iliweza kuwa a mixture of his Rwandese culture na a modern African guy.

Kutoka nchini Afrika kusini designer Paledi PALSE pia aliweza kuonyesha collection yake ambayo fabrics nyingi zilikuwa floral yet any man could pull them off

Kutoka nchini Ghana pia designer Quophi Akotua alishowcase collection yake ambayo pia the floral prints zilikuwa zakuvutia, the shirts and pants.

Pia kutoka Ghana kulikuwa na mbunifu mkongwe Abrantie the Gentleman aliyekuja na collection ikiwa na very cool casual yet smart pieces ambazo mkaka anaweza kuvaa katika mazingira tofauti from work outs to office outfits.

Na kutoka Nigeria kwa wenyeji wa fashion week tulijionea wabunifu kama Emele Agbai (@2107Couture) aliyeshowcase some decent African looks zilizovutia wengi.

Pia wabunifu kama Maxivive, Designer 1407 na One Tribe waliweza kuwa na collection za kitofauti kidogo.

Designer Maxivive aliweza kuonyesha a more sportful casual collection including some men’s wear

Pia collection toka kwa one Tribe likuwa ya kitofauti ikiwa na some fresh sporty looks in all shades of brown, rangi ya kahawia.

Na designer 1407 his pieces looked so comfy kuvaa , ambapo one could rock these ufukweni, beach na kupendeza

Well Nigeria Men’s Fashion Week imeisha lakini hatuwezi sahau mavazi maridadi na yakitofauti yaliyooneshwa na wabunifu mbalimbali. Hii ni fursa kwa wabunifu toka Tanzania kuweza kjuonesha collections zao katika platforns kubwa kama hizi pia iwe ni chachu ya mabadiliko na sisi Tanzania wabunifu wetu waweza kuorganise fashion week kama hii iliyospecialize  kwa wanaume tu.

Imeandikwa na Willibard_jr 

 

Related posts

4 Comments

  1. ytmp3

    … [Trackback]

    […] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/men-fashion-week-nigeria-2017/ […]

  2. wapjig.com

    … [Trackback]

    […] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/men-fashion-week-nigeria-2017/ […]

  3. where to Buy Magic Boom Bars online with free shipping

    … [Trackback]

    […] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/men-fashion-week-nigeria-2017/ […]

  4. Web Hosting

    … [Trackback]

    […] There you can find 65758 additional Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/men-fashion-week-nigeria-2017/ […]

Leave a Reply