SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Men Palazzo Trend
men fashion column

Men Palazzo Trend 

Phew its about time kaka zetu wanapumua na skinny jeans ilikuwa too much kwa kweli, maana ilifika kipindi unakuta mwanaume kavaa skinny jeans mpaka unajiuliza je damu inatembea kweli mwili maana mishipa itakuwa imebanwa na nguo.

Kwa sasa tumeona trend mpya ni palazzo, hizi ni zile suruali za kuachia kwa hapa kwetu huwa zinaitwa bwanga. Tumependa hii trend kwanza inakupa muonekano wa tofauti lakini pia hii trend ipo very comfortable yaani huteseki.

Watu maarufu wengi tumewaona wakiwa wamevalii hii trend ambapo wengi wao walivalia vintage style. Hii trend si mpya ilikuwa toka zamani lakini kila trend ikirudi huwa inawekwa kwa style ambayo itaendana na wakati tuliopo. Kwa sasa wengi wanavaa hii style colorful.

Wakati wapo ambao wanavalia sio colorful sana, well as we know kila mtu ana style yake kuna ambao wanapenda kuwa coloful na wale ambao ni low key japo Diamond yeye ametuonyesha ambavyo unaweza kuvaa trend hii in two ways colorful na monochrome

Well Afromates let us know your thoughts on the trend.

Related posts