SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Men Please Let Your Lady Slay On Her Engagement Day
Mitindo

Men Please Let Your Lady Slay On Her Engagement Day 

Siku ya engagement yako ni siku ambayo tunadhani kila mwanamke anatamani aonekane amevaa na kupendeza, kuna zile ambazo huwa zinaandaliwa mnashona na sare kabisa, hizi sizo tunazo ongelea hapa, tunazo ongelea hapa ni zile za kushtukizwa yaani unaambiwa labda “babe vaa tunatoka dinner” ukifika huko unakutana na surprise ya kuvalishwa pete.

Huku kukiwa na camera man’s labda na baadhi ya ndugu, kama umezoeana na mpenzi wako na labda sio mpenzi wa kuvaa sana unajikuta umevaa zako simple labda jeans na tee au kijigauni tu cha kawaida wakati mwenzio kapigilia suit au very elegant look, na akakutoa hapo nyumbani mpo hivyo hivyo kwenda kwenye hio event akijua kabisa mnaenda ku-engage.

As much as wewe mwanaume umependa uonekane umependeza na mwanamke ndivyo hivyo you could at least tell her babe leo dress to kill nataka upendeze au kumchagulia nguo ya kuvaa ili asijisikie vibaya picha zenu za engagement yeye hakupendeza, tumeliona hili kwa wasanii maarufu wa kiume mmoja kutoka Kenya na mwingine Tanzania ambao wao walivaa wakapendeza huku wanawake wao wakiwa kawaida.

February mwaka huu tulimuona mwanamuziki kutoka katika kundi la sauti sol Kenya Bien-Aime Baraza akiwa ame mu-engage mchumba wake  Chiki Kuruka, Bien-Aime Baraza he looked spot on black suit, perfect shoes ameendana na ambacho alikuwa anakifanya, lakini back to Chiki Kuruka yeye alivaa tu jeans, boots na blouse nyeusi, you could real spot the difference kwenye outfit tungependa kumuona Chiki nae akiwa amedress accordingly lakini kwa sababu it was a surprise walishindwa kumwambia avae vizuri.

Wakati kwa Tanzania tumemuona mwanamuziki Harmonize akiwa ame mu-engage mchumba wake Sarah, same as Bien-Aime Baraza, Harmonize alipendeza kwa kuvaa shirt nyeupe, suruali nyeusi, akiwa ameongezea na acessories kama bow tie, miwani, hereni etc, while Sarah yeye alikuwa in her usual boutiques outfit, hapa akiwa amevaa Fendi inspired black outfit.

View this post on Instagram

If you think she said no …!!! 😋 💍

A post shared by KONDEBOY (@harmonize_tz) on

tunadhani hili linahitaji kuzingatiwa na kuangalia mara mbili, let your woman slay too jamani to think that hizo picha mtakuja kuonyesha wajukuu zenu.

Related posts

4 Comments

  1. สล็อตเว็บนอก

    … [Trackback]

    […] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/men-please-let-your-lady-slay-on-her-engagement-day/ […]

  2. Tropical Punch 1g Disposable Vape

    … [Trackback]

    […] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/men-please-let-your-lady-slay-on-her-engagement-day/ […]

  3. weight loss rx online​

    … [Trackback]

    […] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/men-please-let-your-lady-slay-on-her-engagement-day/ […]

  4. buying magic mushrooms online usa​

    … [Trackback]

    […] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/men-please-let-your-lady-slay-on-her-engagement-day/ […]

Comments are closed.