Zamani wanaume walikuwa wanabeba laptop bags na wallet tu, lakini sasa hivi tunaweza kuona wanaume wakiwa wamevalia fanny packs kiunoni, kubeba men handbags na sasa tunaona wana murse au men purse.
Tuna support men in wearing anything they’d like, matter of fact a handbag can’t change your gender, wakati mwingine mwanaume hana laptop wala kitu kikubwa cha kubeba lakini analazimika kubeba bag kubwa au mifuko ya lambo kuwekea vitu vyake vidogo vidogo kisa tu hawezi kubeba purse.
Well we can now say its about time wanaweza kubeba hii accessory ambayo itawaruhusu na wao kubeba vitu vyao vidogo vidogo, wengi watauliza kama? Let us mention a few, charger, wallet, headphones, mafuta, snack ( pipi, big g), flash drive, usb, na vingine vingi.
na hivi ni namna ambavyo Diamond na Noel Ndale wame style purses zao
Tunadhani sio tu hizi purses ni helpful kwao lakini pia ni stylish ( haya ni mawazo yetu unaweza kutuachia yako hapo chini kwenye box la comment
Related posts
HOT TOPICS
Happiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/VZ1jH2zJUg
FollowHappiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/689j7Yjcn0
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
Feza Kessy Atuelezea Kuhusu Fashion & Style Zake
Feza Tadei Kessy ni Muimbaji, Muigizaji lakini pia ni mtunzi wa nyimbo lakini pia Fezza ni former beauty queen ambapo mwaka 2005 alikuwa Miss Dar City Centre, Miss Ilala & Miss Tanzania Runner up. Lakini pia alishawahi kuwepo katika Reality Tv Show – Big Brother Africa. Kwa…