SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Socks And Sandals Trend For Men
men fashion column

Socks And Sandals Trend For Men 

Trend ambayo kwa miaka ya karibuni tumejionea kwa wakaka wengi ni pale wanapovaa socks na sandals ama slippers ambapo ina hisia tofauti toka kwa watu mbalimbali katika mitindo. Wanamuziki wengi tumejionea wakivalia hivi styling it with a comfy pair of sweta pants, track suits ama kaptura.

Miaka ya zamani iliozoeleka na kuonekana kwa wazee wakivalia hivi yaani outfit being paired na socks plus sandals. Ila miaka ya karibuni fashion trend hii ilirudi na tukijionea wakaka wengi wakiirudia. Well ina mixed reviews hadi sasa ambapo baadhi kutoikubali na kuiona sio fashion yenye kuweza kukubalika na wengi. Wengi waiona kama ni a lazy fashion trend ambayo mtu yampasa kuvaa akiwa ndani, nyumbani na sio  nje.

Well mjadala huu uliweza zungumzwa na tuiitayo biblia ya mitingo yaani “Vogue magazine” na maoni yao ni kuwa, waliizungumzia fashionntrend hii kuwa a bit risky mabayo sio kla mtu itamkubali ila walielezesa kuwa uiangaliapo kwa ukaribu ni kwamba yawapendeza wengi maana yawafanya kuwa comfortable.

Nchini kwetu Tanzania tuliweza ona fashion trend hii ikikubalika sana na wanamuziki wengi hasa toka Wasafi Classic. Nchini Imetawala sana as a quick go to fashion statement ambapo mtu akitaka safiri huvaa hivi ili kuweza kubakia comfortable.

Ila pindi utakapochagua kuvaa the socks and sandals ama slippers trend, baahi ya outfits ambazo waweza style nazo na maeneo stahki ya kuvaa hivi. Pindi unapobarizi beach on a vacation, ama trying to find comfortability safarini, nyumbani na sio sehemu za kazi, waweza valia a breezy track suit, kaptura ama baggy pants pamoja na loose vests, shirts ama t-shirts

Ila kiujumla nini amoni yako juu ya this fashion trend? Comment below.

Imeandikwa Na @willibard_jrRelated posts

2 Comments

  1. where to buy mushroom chocolate​

    … [Trackback]

    […] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/men-socks-and-sandals-trend/ […]

  2. cartel disposable

    … [Trackback]

    […] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/men-socks-and-sandals-trend/ […]

Comments are closed.