Ukiongelea wake wa ma Rais ambao huwa hawayuangushi katika swala zima la mavazi basi Michelle Obama nae yumo, Mke hutu wa Rais kutoka marekani Barack Obama ame kuwa aki slay siku mpaka siku. Na ana tufuraisha zaidi vile ambavyo ana penda kuvaa nguo kutoka kwa wabunifu wa Nchini mwao. Safari hii katika hafla ya chakula cha usiku Michelle alivalia gauni jeupe kutoka kwa Mbunifu Ivory Brandon Maxwell,
akiongelea kuhusu kufanya kazi na Michelle Obama Bwana Maxwell alisema “It has been an incredible honor for me and my team to create this dress for the First Lady,” said Maxwell via e-mail to WWD. “Strong and elegant, she is the embodiment of the woman that inspires me to create, and a role model for women all over the world.”
Michelle ali valia gauni ilo aka accessories na Hereni za Almasi huku akiwa ame pakwa make up simple
Related posts
4 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/michelle-obama-never-disappoint/ […]
… [Trackback]
[…] Here you will find 8510 additional Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/michelle-obama-never-disappoint/ […]
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/michelle-obama-never-disappoint/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/michelle-obama-never-disappoint/ […]