Tenitra Michelle Williams ni American recording artist, record producer, songwriter, na actress, Michelle alikuwa katika group la muziki la Destiny’s Child ambapo liliwaunganisha Michelle Williams, Kelly Rowland na Queen her self Beyonce, Lakini kundi lilivunjika na kila mtu akaenda upande wake seems like Michelle aliamua kukaa kimya ila ame ibuka ghafla na buka yake ime tuvutia the girl is slaying her life na she is all about prints & we love it

 

Michelle Williams In OTT