SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mid December Looks We Spotted From Tanzania Celebrities
Mitindo

Mid December Looks We Spotted From Tanzania Celebrities 

December ni mwezi wa mapumziko, wengi hutumia mwezi huu kukaa na familia zao, lakini pia shopping na slayage huwa zinafanyika sana. Hii ni baadhi ya mionekano tuliyoiona toka mwezi huu uanze na ikatuvutia

Msanii wa bongo fleva Faustina Charles Mfinanga A.K.A Nandy akiwa amevalia orange dress kutoka kwa mbunifu @mahaumes , Hii dress ilikuwa debuted katika Swahili Fashion Week mwaka huu. We love the design ya gauni, the color is perfect. Nandy alichaguwa kuwa minimum na vitu vingine na kuiacha gauni iongee.

Wema Sepetu is making a slow coming back kwenye mavazi, as we all know kipindi cha katikati alikuwa lost kutokana na upunguaji wa mwili ( we all get confused when this happens). Tumemuona akiwa stunned in red Elisha Red Rabel dress, tumependa makeup na nywele pia, call her Mrs. Claus.

Kama hatujawahi kuwaambia statement sleeves zipo kwenye trend kwa sasa basi let us inform you ” Statement Sleeves Are Trending”, Lavidoz gave us snow and mountains kwenye hii all white outfit, love how she accessorize the dress.

Hamisa Mobetto dripping in sequins, Hamisa amesheherekea siku yake ya kuzaliwa hivi karibuni, na alivaa hii gauni ya sequin yenye high side slit kutoka katika brand yake ya Mobetto Styles. Well what a way of entering new age than by glitter it?

Kama ambavyo tumesema statement sleeves zinatrend kwa sasa, mwanamitindo Julitha Kabete tulimuona kwenye hii orange dress yenye statement sleeves, we loved it

Kwa gentlemen nao tulikuwa na Kelvin, Rio Paul, Noel Ndale pamoja na Cyrill Kamikaze hawa tumewaona wamependeza sana kwenye hizi outfit zao.

Well Afromates who are you loving so far?

Related posts