SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mid Week Slayage From Nancy Sumari, Lavie Makeup, Lulu Diva & Lillian Kamazima
Mitindo

Mid Week Slayage From Nancy Sumari, Lavie Makeup, Lulu Diva & Lillian Kamazima 

Oh Well Oh Well, seems like fashion Santa ameitembelea Tanzania mapema kabisa, week hii tumeona watu maarufu wakiwa wamependeza mno. Na wote walionekana kuchagua jumatano kama siku yao ya ku-post mitoko yao.

Former Miss Tanzania Nancy Sumari alionekana kwenye hii sequin dress, its a full meal situation, Nancy ni moja ya watu maarufu wanao represent short hair community tumependa kwamba ameonyesha huitaji nywele ndefu kupendeza.

Makeup artist Lavie Makeup in Elisha Red Label Dress, Lavie ni mara chache kumuona kwenye mitandao mara nyingi huwa anapost kazi zake lakini katika hizo mara chache ambazo huwaana jipost ana hakikisha ana kitu ambacho ni worth kukipost, look at her flaunting curves, shoulders and serving face.

Lulu Diva in Fatuma Hasha dress tuseme hii gauni ni nzuri mno, namna ambavyo imepangiliwa rangi, volume ya mermaid chini, Fatma Hasha really took her time to create the dress.

Former Miss Tanzania Lillian Kamazima showed us how to rock gold in wedding lydia dress one thing kuhusu Lillian ni slayer ambae huwa hanaga kelele, mara nyingi anakuwa simple hasa kwenye makeup na accessories.

Well Afromates tuambieni nani amekuvutia zaidi?

Related posts