Aliyekuwa Miss Tanzania 2001, Happiness Magese amepata nafasi ya kuwa cover katika gazeti la Genevive Magazine kutoka Nigeria ambalo lina mirikiwa na muigizaji kutoka Nigeria, Genevive Nnaji. Katika article yake Happiness ameongelea kuhusu Endometriosis and Infertility na jinsi alivyo weza kupata mtoto.
Katika hii cover Millen ame mtambulisha mwanae Kairo huku akiwa akiwa amevaa a gorgeous gown kutoka kwa mbunifu Esé Azénabor anae patikana U.S.A,
Ni off white dress yenye little touch’s za gold, tumependa the fact that hajavaa yellow ila imekuwa presented as a back ground to make a statement on Endometriosis, Millen amekuwa styled na stylist kutoka Tanzania Rosemary Kokuhilwa, the hair is perfectly done zimeachia uso wake uonekane vizuri, tumependa alivyo kuwa na minimum accessories not too much going on, & her nude perfectly done makeup.
Prince Kairo yeye amevalishwa same fabric kama ya mama yake, with his cute little head ikiwa ime valishwa a gold clown (as a prince that he is), well we couldn’t help but notice prince Kairo’s little feet zikiwa zimevalishwa nice white shoe.
we love love this cover, na tunasubiri cover’s nyingine mwaka huu ziwe as nice as this.
Photographer : @oye_diran Oye Diran
MUA: Seven Hudson | @sevenknows
Fashion Stylist : @rosemary_kokuhilwa
Designs by : @eseazenabor
Related posts
3 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/millen-magese-covered-genevieve-magazine-march-april-2018-issue/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/millen-magese-covered-genevieve-magazine-march-april-2018-issue/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/millen-magese-covered-genevieve-magazine-march-april-2018-issue/ […]