Millen Magese ni fashionista na model ambae wote tunajua ana enda na trend, na leo ame tuonyesha namna nyingine ya ku style denim on denim trend. Watu wengi walio vaa trend hii wame vaa na mashati ya aina mbali mbali lakini yeye ame valia sleeveless crop top ya denim na skin jeans ambayo haija fika mpaka chini amemalizia muonekano huo kwa kuvalia na aquazzura pon pon sandals

13402504_494033184118512_1419242395_n 13437331_1740807376192184_584296129_n 13561559_1790625387839160_881866854_n

je ume penda muonekano?

 

Comments

comments