Gigy Money ni mwanamuziki na presenter ambae amejizolea umaarufu nchini kutokana na kuvaa nguo za ajabu, Gigy ame kuwa akitupiwa lawama na wasanii wenzake pia na mashabiki wake kwa kupenda kuvaa nguo za utupu na zile ambazo hazina mionekano ya ki star
Lakini siku mbili tatu hizi gigy ame onekana akiwa ame sikiliza kilio cha hawa watu baada ya kuonekana amebadilsha mionekano yake na ame pendeza, japo mionekano hii ame kuwa kavaa kimama zaidi lakini kapendeza. Ana weza kubadilika kwa kuvaa kutokana na kazi yake ila avae zile nguo zinazo endana na mwili na kazi yake bila kuwa too exposed na kuleta tafrani kwa wengine
Gigy akiwa ame vaa bandage blue dress na kiremba cha kitenge ambacho ame match na kipande cha kitenge alicho funga kiononi, sio tu ima mng’arisha bali pia kafunika maungo yake na kuonekana mtu mwenye heshima zake.
Gigy akiwa kavaa gauni la kitenge ambapo juu alikuwa haja li accessorize ila chini ame libana na mkanda (belt) lime mkaa vizuri sana. Tuna mtaka gigy huyu na aendelee kuvaa vizuri zaidi ya hapa. Bila kusahau make up artist wake ana fanya kazi nzuri.
Related posts
5 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/mionekano-mipya-ya-gigy-money-tuliyo-ipenda/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/mionekano-mipya-ya-gigy-money-tuliyo-ipenda/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/mionekano-mipya-ya-gigy-money-tuliyo-ipenda/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/mionekano-mipya-ya-gigy-money-tuliyo-ipenda/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 36172 additional Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/mionekano-mipya-ya-gigy-money-tuliyo-ipenda/ […]