SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mionekano Ya Watu Maarufu Kutoka Week Iliyopita
Mitindo

Mionekano Ya Watu Maarufu Kutoka Week Iliyopita 

Ni jumatatu nyingine tena kutoka katika mwezi wa tatu ambayo huwa tunakuletea ile mionekano yote ya watu maarufu kutoka week hio, tunaweza kusema mambo yalikuwa mengi sana katika week hii, amsha amsha zilikuwa nyingi, watu maarufu mbali mbali wali grace timelines zetu za mitandao ya kijamii na looks zao, na hizi ndizo tulizo zi-spot na maoni yetu

Jacqueline Wolper In Statement Kitenge top, huwa tunajua Jacqueline ni moja kati ya watu maarufu ambao unaweza kuwahesabia ukisema stylish celebrities wa Tanzania, she is a show stopper, week hii tumemuona katika hii look ambayo yuliipenda sana. The statement kitenge top was everything. Mara nyingi tunasema little details zinaweza kubeba muonekano wako vyema kabisa yeye kuongezea fishnet socks kwenye hii look yake ilikuwa a stylish move, loved it.

Count on Lavidoz to serve you classic looks, week hii tumemuona kwenye hii nude statement top, akiwa amevalia na blue jeans amemalizia na nude pumps, Lv bag, miwani na accessories ndogo ndogo.

New body comes with new slayage, Linah Sanga served us this colorful look and we are here for it.

Mwanamuziki Cyrill Kamikaze gave us animal print moment na hii leopard shirt, ambayo alimalizia na black trouser, black shoes, na accessories ndogo ndogo, he can truly enter the MCM Chat.

Well afromates hizo ndizo looks zilizotubariki kutoka week iliyopita je ipi imekuvutia zaidi?

Related posts