SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mionekano Ya Watu Maarufu Kutoka Week Iliyopita
Mitindo

Mionekano Ya Watu Maarufu Kutoka Week Iliyopita 

Ni week nyingine tena tumeanza tukiwa tumetoka mapumzikoni, oh well oh well kama kawaida huwa tuna report yetu ya kila mwisho wa week ya mtu maarufu gani alivaa nini na je alipendeza au lah? Na hii haifanyiki kujifuraisha au kukosoa watu hapana nii ni ku acknowledge wale wanao fanya vizuri na kuwapa motisha wale ambao bado wanaonekana kuyumba kwenye swala zima la mitindo, as we all know katika radar ya fashion Tanzania tupo nyuma sana ukiwaangalinganisha na wenzetu kama Nigeria, South Africa na Ghana. Tungependa sikumoja tufike huko na hata kuwapita well kwani ku slay sh’ngapi?  na haihitaji hata kutumia pesa nyingi ni kujua tu kujipangila.

Enough with the stories tuanze na wale waliofanya vizuri week iliyopita

  • Julitha Kabete Serving Looks For The Gram

Moja kati ya viungo tegemewa kabisa hapa nchini kwetu kwenye swalazima la mavazi, Julitha ameonekana week in this creamy dress lililo m-fit vizuri kabisa, ukiongelea making a statement kwa gauni tu ndio hii, the dress says it all kuanzia rangi mpaka design kwa kuliona hilo Julitha aliamua kuliacha liongee akaamua kuvaa clear heels, akamalizia na bangili za gold na hereni huku usoni akiwa na neutral tones makeup & hair well laid. Love this look to the moon & back, slay honey.

  • Mwamvita Makamba In Bold Colors

Mwamvita aliamua kuwa colorful na hii outfit yake tulichopenda zaidi ni namna alivyo cheza na rangi na trends tulisha ongelea kwamba pastel suits zipo kwenye trend lakini pia kwa sasa bold colors zina trend sana, Mwamvita yeye ame combine hizi trends mbili kwa pamoja and the outcome was perfect, well she chose to be bold kwa kuongezea accesorieskama miwani na pearl necklace amemalizia muonekano wake na nude shoes na red lipstick. A Rainbow.

 

 

  • Victoria Kimani Stopping Tax In African Prints 

Victoria Kimani kutoka Kenya ametuonyesha namna ambavyo unaweza kuchanganya African & western fashion na ukapendeza kuendana na wakati, tumependa hii african print dress ya mustard yellow na black ameongezea fishnet stockings akamalizia muonekano wake na ankle boots na beret nyeusi, so fashionable.

  • Juma Jux In Chidy Design Suit

Mwanamuziki Juma Jux huyu huwa hatuangushi, yeye na mpenziwe ni fashion couple goals they know how to carry an outfit week hii tumemuona Juma katika mionekano mingi ila huu ndio ulio catch attention yetu, amevaa suti kutoka kwa mbunifu chidy design ambapo caot ndio limebeba muonekano wote yaani attention yetu yote imeenda kwenye coat perfect color pop. So fresfy so clean.

 

Kwa ambao wameharibu week hii ni

  • Harmonize In Double Denim Outfit 

Ni sawa kabisa kuwa extra ila uwe extra na upendeze lakini unapokuwa extra halafu unakuwa ume haribu ni inakuwa uharibifu mara dufu, Harmonize needs to learn maneno ya less is more maana extra haimfai tumesha sema mara nyingi ana jaribu sana mwishoe ana haribu too much is harmful blaza take it slow mdogo mdogo utafika.

Unaweza kutuachia comment zako hapo chini kutuambia nani ambae amekuvutia zaidi katika list yetu hii

Related posts