SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Miriam Odemba & Lilo Aderogba Wawatolea Uvivu Wanaovaa Vitu Fake
Industry Tea

Miriam Odemba & Lilo Aderogba Wawatolea Uvivu Wanaovaa Vitu Fake 

Tulishawahi kuongelea kuhusu watu maarufu kuvaa fake designers, na tulipata maoni yenye pande mbili kuna ambao walisema ni sawa na kuna ambao walisema si sawa. Well kuvaa fake designers kunaweza kumshushia msanii kwa kiasi kikubwa pale tu umma utakapo notice na kumuweka hadharani kwamba alichovaa ni fake.

Well week mbili hizi tumeona Msanii Diamond Platnumz na Harmonize wakidakwa kwa kuvaa saa fake ambapo account ya fake watch buster waliwapost kama wamevaa saa za brand fulani ambazo ni fake

Imeonekana hili swala limemfikia mwanamitindo Miriam Odemba na Actress Lilo Aderogba kutoka Nigeria ambao hawakusita kutoa maoni yao kuhusu swala hili la watu maarufu kuvaa vitu fake ambapo wote wawili walionekana kuwa na mawazo yanayoendana kwamba ni aibu kubwa kwa mtu maarufu kuvaa fake designers.

well Afromates tunauliza tena je ni sawa au si sawa kwa watu maarufu kuvaa fake brands?

Related posts

2 Comments

  1. ทำตาหมอไก่

    … [Trackback]

    […] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/miriam-odemba-lilo-aderogba-wawatolea-uvivu-wanaovaa-vitu-fake/ […]

  2. Marlin firearms

    … [Trackback]

    […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/miriam-odemba-lilo-aderogba-wawatolea-uvivu-wanaovaa-vitu-fake/ […]

Comments are closed.