SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mishono Bomba Ya Sketi Za Kitenge
Afro Fashion

Mishono Bomba Ya Sketi Za Kitenge 

Unaweza usikumbuke mara ya mwisho umevaa skirt ya kitenge lini, au kukumbuka kumuona mtu anavaa na hii ni kwa sababu wengi kwa sasa wana shona styles za magauni,suruali, jumpsuit na pants. Skirt zime sahaulika kabisa lakini guess what? kuna wabunifu ambao bado wana utayari wa kuendelea kuonyesha ubunifu wao katika kubuni vitu tofauti na kuvivaa kisasa mpaka ukavipenda na kutaka kurudi kuvaa, Leo tumekutana na page instagram inayo itwa @tutafii hawa wanabuni mavazi mbalimbali a kitenge ikiwepo skirt na wana zistyle vizuri sana

High waist Ruffle skirt ikiwa imekuwa styles na sweater na open heels ame ongezea na ku accessorize na miwani na statement earrings, we must say this is a good mix between modern and traditional

 

Ruffle skirt ikiwa imekuwa styled na over the knee boots na sweater “winter style” loving this style.

if this isn’t style we don’t know what is, we love the color coordination, well styled. A statement Ruffle skirt over the shoulder white top na ankle white boots amemalizia muonekano wake na glasses na clutch nyeupe (slayinggg)

Ruffle skirt  amechagua colorful top to make a statement akiwa amemalizia muonekano wake na socks boots na miwani, run way on the street look.

kwa mishono mingine bonyeza hapa

Related posts

4 Comments

  1. site link

    … [Trackback]

    […] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/mishono-bomba-ya-sketi-za-kitenge/ […]

  2. Plantation Shutters

    … [Trackback]

    […] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/mishono-bomba-ya-sketi-za-kitenge/ […]

  3. roof skylight

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/mishono-bomba-ya-sketi-za-kitenge/ […]

  4. Darknet market links list 2023

    … [Trackback]

    […] Find More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/mishono-bomba-ya-sketi-za-kitenge/ […]

Comments are closed.