Nhlanhla Nciza ni mwanamuziki kutoka South Africa, Nhlanhla ni kati ya wanamuziki wanao unda kundi la Mafikizolo, tunajua hadi hapo umesha mtambua mwanadada fulani hivi anae jipenda, anapenda kuvaa colorful outfit na mara nyingi utamkuta amevaa kitenge na mishono yake huwa unique, Nhlanhla amevalishwa na brand yake mwenyewe ya nguo NN_vintage
Vibing in yellow skirt & peplum kitenge top, kama tulivyo sema hapo juu Nhanhla anapenda colorful outfits, hapa akiwa amevaa skirt yake ya njano na top ya kitenge yenye blue njano na nyeusi.
Rocking Color Of The Year, Tunajua rangi ya mwakaa huu ni ultra violet (purple) hapa Nhlanhla akiwa amevaa gauni ya kitenge chenye rangi ya purple ambayo ameongezea uniqueness kwa kuongezea net kwa chini.
Women Loves Pink, yes we do Nhlanhla akiwa amevaa top yake ya pink na suruali ambayo inarangi ya pink na kijani.
Chic Of shoulder dress
unaweza kuiga mshono au kutembelea page yake ya kuuza hizi nguo @nn_vintage na kuagiza uliyo ipenda
Related posts
5 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/mishono-minne-4-ya-kitenge-kutoka-kwa-mwanamuziki-nhlanhla-nciza/ […]
… [Trackback]
[…] Read More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/mishono-minne-4-ya-kitenge-kutoka-kwa-mwanamuziki-nhlanhla-nciza/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/mishono-minne-4-ya-kitenge-kutoka-kwa-mwanamuziki-nhlanhla-nciza/ […]
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/mishono-minne-4-ya-kitenge-kutoka-kwa-mwanamuziki-nhlanhla-nciza/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/mishono-minne-4-ya-kitenge-kutoka-kwa-mwanamuziki-nhlanhla-nciza/ […]