Kuna wakati unapenda kuvaa vazi lenye touch ya kitenge ndani yake, labda hupendi kitenge kichukue nafasi kubwa sana katika vazi lako au labda una sare ya harusi na unapenda uwe unique kidogo sio wote mvae kitenge cha aina moja na iwe full kitenge, hii mishono inakufaa sana

 

Mixing prints

Wedding guest dress

A little touch ya kitenge mikononi

Comments

comments