Kiukweli sisi tunapenda tunapoona Fashionista wakitumia vitenge katika mavazi yao, Yes si kwamba tu wanatupa mishono bali pia wanatangaza vya kwetu.

Tumewaona fashionista hawa watatu kutoka Tanzania, South Africa na Nigeria wakiwa wamevalia mavazi ya kitenge na tukaona tukuletee hapa labda unaweza kuona mshono utakaoupenda na kuuiga.

Elizabeth Michael served us kitenge look kutoka kwa mbunifu Elisha Red Label, Tumependa simplicity ya mshono.

Mihlali Ndamase Kutoka South Africa yeye alivaa hii dramatic kitenge dress ambayo tumependa how modern it looks

Wakati Angel Obasi yeye alituserve hii double layered mermaid dress