SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mishono Ya Kitenge Kutoka Kwa Fashionista’s
Afro Fashion

Mishono Ya Kitenge Kutoka Kwa Fashionista’s 

Fashionista’s kama wamerudisha mapenzi yao kwenye kitenge karibia kila page ya fashionista tunayo itembelea tunakutana na picha wamevaa vitenge & tunapenda tunacho kiona, sababu kubwa ikiwa ni kutangaza vya kwetu pia lakini pia kupata kujua mitindo mipya na jinsi ya kustyle vitenge vyetu, leo tunakuletea inspiration kutoka kwa fashionista’s mbalimbali unaweza kuiga mshono

tumekutana na mwanamuziki Tiwa Savage akiwa amevalia Ruffle kitenge dress akiwa amevalia na Gucci shoes na amebeba Dior cross over bag

theladyvhodka yeye alivaa mixed prints, ambapo amevaa top ya kitenge na floral skirt akiwa amemalizia mtoko wake na kiremba cha kitenge, open heels na amebeba pochi ame accessorize na miwani, hereni na pete na bangili, she is a risk taker kama upo vizuri katika kupangilia rangi hii inakufaa una stand out.

therealrhonkefella yeye ndio ameonekana hii week amei dedicate kwenye vitenge kila picha anayo itupia amevaa kitenge tumependa hizi tatu

Hii Puff sleeves jumpsuit ambayo unaweza kuvaa kwenye mitoko yako ya hapa na pale the jumpsuit is goal yenyewe tu ni statement piece una turn heads

Ruffle kitenge blouse ambacho amevaa na skirt ya kijani akamalizia mtoko wake na burgundy handbag na viatu huku akiwa ameacessorize na miwani na big round earrings

Ruffle on Ruffle

Related posts

2 Comments

  1. Cheap DMT for sale Perth

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/mishono-ya-kitenge-kutoka-kwa-fashionistas-2/ […]

  2. สลอดออนไลน์

    … [Trackback]

    […] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/mishono-ya-kitenge-kutoka-kwa-fashionistas-2/ […]

Leave a Reply