SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mishono Ya Kitenge Kutoka Kwa Hamisa Mobetto
Mitindo

Mishono Ya Kitenge Kutoka Kwa Hamisa Mobetto 

Hamisa Mobetto amekuwa aki-slay left and right, inaonekana ametuandalia vingi mwaka huu wa 2021, kama una kitenge chako na unataka kukishona kwa ajili ya sherehe basi kuna hii mishono miwili kutoka kwa Hamisa ambayo tumeiona na wewe unaweza kuiga kushona kama utavutiwa nayo.

Ni mishono ya nguva ambayo kuifanya i-pop ame mix na materials nyingine kama red sheer

pamoja na gold sequin. Well she looks simple, stylish and elegant.

Unaweza kuvaa mishono hii kwenye kitchen party, kama wedding guest n.k well #afromates tuambie mshono upi umekuvutia zaidi?

Related posts