SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mishono Ya Kitenge Kutoka Kwa Tonto Dikeh
Mitindo

Mishono Ya Kitenge Kutoka Kwa Tonto Dikeh 

Tonto Dikeh ni moja kati ya majina huwezi acha kuyataja ukiongelea kuhusu movie industry ya Nigeria, wengi tumemjua kutoka katika uigizaji, ukiachana na kuwa mzuri katika fani yake Tonto ni mzuri pia katika mavazi, huwa anajipatia kutokana na umbo lake na style yake.

Tonto pia ni mvaaji mzuri wa vitenge kinacho tuvutia zaidi kutoka kwake na fundi wake ni namna ambavyo wana ongezea touch’s za tofauti katika vazi hili la kitenge leo tunakuletea mishono 6 kutoka kwake ambayo unaweza kuiiga ukaendea kwenye kitchen party, traditional wedding’s etc.

Kwa wale ambao tunapend kuvaa peplum tunajua ni shida namna gani kupata mtindo wa juu, well hii ni michache kutoka kwake tuliyoiona unaweza kuiga.

Mix & match kwa wapenzi wa ku-mix na kumatch outfit zetu tuka stand out basi mishono hii inaweza kukufaa.

Well tuambie katika mishono hii sita ni upi ambao umeona unaweza kujaribu?

Related posts