SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mishono Ya Kitenge Kutoka Kwa Wema Sepetu, Cyrill Kamikaze Na Jacqueline Mengi
Mitindo

Mishono Ya Kitenge Kutoka Kwa Wema Sepetu, Cyrill Kamikaze Na Jacqueline Mengi 

Tumeanza mwezi wa April na we can already see  mwezi huu umeanza ki-Africa zaidi, watu maarufu wengi wameonekana kuvaa mitindo ya ki-Africa. Kitenge kimekuwepo kwa miaka na ni mara chache unaweza kuona watu maarufu wamevaa kitenge tena ikiwa kwa mfululizo lakini week hii imeonekana kitenge kimechukua sehemu kubwa katika mavazi yao.

Tumemuona Wema Sepetu akiwa amevalia hii kitenge mermaid dress kutoka kwa mbunifu @chapa1collection , The dress itself ni statement amemalizia muonekano wake na lemba aina ya gere na nude makeup,you can real rock this dress kama that slayer wedding guest au hata ikatumika kama gauni kwa ajili ya bibi harusi katika kitchen party yake.

Mwanamuziki Cyrill Kamikaze yeye alishow up in kitenge shirt, giving us that dope African prince look, amemaliza muonekano wake na suruali nyeusi, viatu vyeusi na miwani akamaliza kabisa with his perfect smile.

Wakati Jacqueline Mengi yeye alionekana akiwa amevalia hii statement kitenge top kutoka kwa mbunifu Jacqueline Wolper  amemaliza muonekano wake na skin jeans nyeupe na white pumps,

Well that’s how we start our week, tag us kama utavaa kitenge for feature on our social media accounts.

Related posts

4 Comments

 1. golden teacher mushroom grow kit uk,

  … [Trackback]

  […] There you can find 6326 additional Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/mishono-ya-kitenge-kutoka-kwa-wema-sepetu-cyrill-kamikaze-na-jacqueline-mengi/ […]

 2. go x scooters san francisco

  … [Trackback]

  […] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/mishono-ya-kitenge-kutoka-kwa-wema-sepetu-cyrill-kamikaze-na-jacqueline-mengi/ […]

 3. go here

  … [Trackback]

  […] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/mishono-ya-kitenge-kutoka-kwa-wema-sepetu-cyrill-kamikaze-na-jacqueline-mengi/ […]

 4. brainsclub

  … [Trackback]

  […] Read More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/mishono-ya-kitenge-kutoka-kwa-wema-sepetu-cyrill-kamikaze-na-jacqueline-mengi/ […]

Comments are closed.