SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mishono Ya Vitenge Kutoka Kwa Fashionista Mbalimbali
Mitindo

Mishono Ya Vitenge Kutoka Kwa Fashionista Mbalimbali 

Inawezekana una kitenge chako hujui ushone nini au una event inakuja na sare ni kitenge na bado hujajua mshono gani ushone, leo tunakuletea mishono mitatu mikali kutoka kwa Jojo Gray, Elizabeth Michael na Muna Love

Muna aliserve akiwa amevalia hii mermaid dress kutoka kwa Allie Clothing, tumependa namna ambavyo wame mix-match kitenge na material nyingine, unaweza kuvaa hili vazi kama wedding guest au hata kwenye red carpet.

Jojo Gray served akiwa amevalia hii high slit dress ya kitenge aliyomix na lace corset, amemalizia muonekano wake na kiremba, unaweza kuvaa hili vazi as a wedding guest au kwenye kitchen party.

Elizabeth Michael corset skater kitenge dress, hii kwa wale tunapenda kuonyesha assets zetu inafaa kwenda kwenye event kama kitchen party au zile events za kina mama (kitchen party gala etc)

Tuambie mshono upi umeupenda kati ya hii?

Related posts