SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mishono Ya Vitenge Kutoka Kwa Lilly Afe
Mitindo

Mishono Ya Vitenge Kutoka Kwa Lilly Afe 

Kitu kimoja kuhusu vitenge ni kwamba huwa hakitoki kwenye style, Dunia ya mitindo inavyoendelea kukua na kubadilika na chenyewe kina cope na mabadiliko, ikiwa zamani ilikuwa mishono ipo limited kwasasa kitenge kina designs nyingi na namna nyingi za kushona.

Leo tunakuletea mishono ya kushona ambayo ni ya kisasa zaidi inspiration kutoka kwa fashionista Lilly Afe

Unaweza kuvaa hizi kwenye mitoko yako ya hapa na pale,unaweza kwendea kwenye casual meetings, shuleni kwa watoto etc.

Lakini pia kuna hizi endapo umeealikwa kwenye sherehe inayokutaka uvae kitenge

Tuambie mshono gani unaweza kujaribu kati ya hii?


Related posts