SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Miss Tanzania 2007 Richa Adhia Akitukumbusha Enzi Zake
Mitindo

Miss Tanzania 2007 Richa Adhia Akitukumbusha Enzi Zake 

Ukiongelea ma Miss ambao walitumikia muda wao na kupotea basi huwezi kuacha kumtaja Richa Adhia, Richa alishinda miss Tanzania 2007 na kwenda kushiriki katika Miss World China

Ukiachana na kuwa model na event organizer Richa alisha wahi kujaribu kuigiza na ameigiza katika hizi movie mbiliΒ Β 2009-Full Moon, 2012-Zamora

Kwasasa Richa yupo nje na anaendelea na kazi yake ya u-model

Fierce

Related posts