Ikiwa jana ndio miss universe ilifikia kikomo na Miss Philippines kunyanyuka kidedea na kutwaa taji hilo, kulikua na mambo mengi yakiendelea ukiachana na mc wa shindano hilo kukosea kumtaja mshindi na kuwa habari ya dunia hii pia kutoka kwa Miss universe Nigeria bi.Debbie Collins ilishika chat kwenye mitandao ya kijamii, katika kipengele cha vazi la taifa Nigeria ilionekana kituko baada ya mshiriki huyu kutokea na vazi lake, wengi wamekua wakitweet vazi hilo kulifananisha na vitu mbali mbali kama strawberry, miti nk. Vazi halikua baya kama angeliacha gauni tupu bila makorombwezo ya juu hizi ni baadhi ya comment kutoka kwa watu mitandaoni
Related posts
3 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/miss-universe-nigeria-na-kivazi-chake-cha-taifa/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/miss-universe-nigeria-na-kivazi-chake-cha-taifa/ […]
… [Trackback]
[…] Read More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/miss-universe-nigeria-na-kivazi-chake-cha-taifa/ […]