Lilian Ericaah ndio jina lake mwaka jana mwishoni alitwaa taji la miss universe Tanzania 2017/2018, Lilian alienda kutuwakilisha katika Miss Universe World kwa bahati mbaya alirudi mikono mitupu lakini proffesser Jay alisema “uchawi hauendi kwa mentali” Lilian amepata fursa nyingine ya kuwakilisha Nchi yetu na kuonyesha umahiri wake katika jukwaa la West New York Fashion Week.
West New York Fashion Week ni jukwaa dogo lilo anzishwa mwaka 2016 mpaka sasa lina miaka mitatu tu,lakini waswahili usema safari moja uanzisha nyingine kaanzia hapa ambapo kuna wengi walianza mapema na hawaja wahi kufika kesho ataingia katika jukwaa kubwa la New York Fashion Show
Lilian akiwa katika run way akiwa amevalia gold jumpsuit na pumps kutoka kwa mbunifu osmarieshoes
Miss Universe Tanzania @lilian_ericaahModeling for @llanosmarieshoes
Make up & Hairstyle @mima_atelier
Thanks to beauty School @robertfiancewestny &
@scissorhands_26
Lilian in white off shoulder dress na cream shoes kutoka kwa mbunifu cristinamarulanda_ kutoka Colombia
Lilian akiwa amefunga show ya mbunifu joelleaudrey kutoka Paris in a see through silver dress
Tunamuombe kila lenye kheri Lilian aje kufika level za kina Herrieth Poul, Happiness Magesse na Miriam Odemba.
Related posts
5 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/miss-universe-tanzania-2018-katika-jukwaa-la-west-new-york-fashion-week/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/miss-universe-tanzania-2018-katika-jukwaa-la-west-new-york-fashion-week/ […]
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/miss-universe-tanzania-2018-katika-jukwaa-la-west-new-york-fashion-week/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/miss-universe-tanzania-2018-katika-jukwaa-la-west-new-york-fashion-week/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/miss-universe-tanzania-2018-katika-jukwaa-la-west-new-york-fashion-week/ […]