SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mister Model Worldwide Interview With Thom Nguka
Mitindo

Mister Model Worldwide Interview With Thom Nguka 

Mfahamu Mwanamitindo anayeiwakilisha Tanzania katika fainali za Mister Model World Wide 2019. Thom Nguka mwenye umri wa miaka 26 ni mwanamitindo (model) anayefanya vizuri katika tasniia ya mitindo akiwa chunk ya usimamizi wa Pulse Models Management toka nchini Afrika Kusini. Pia nchini tumemuona katika majukwaa ya mavazi ikiwemo Swahili Fashion Week na kwa mbunifu Ally Remtullah.

Well tumepata nafasi ya kuzungumza naye juu ya ushiriki wake katika shindano hili la Mister Model World Wide 2019 ambapo fainali zake zitafanyika December, 2019 DelhI, nchini India.

AFROSWAGGA: Ulipata vipi nafasi ya ushiriki katika shindano hili la Mister Model World Wide 2019?

THOM: 1: Well nilipata chance ya kushiriki Mister Model World Wide kwa Mtanzania mwenzangu aliyenitumia link niweze kuapply, nikafanya hivyo. Wahusika waliangalia vigezo na kuona nafaa hivyo kuchaguliwa kuwa mwakilishi toka Tanzania kama Mister Model World Wide Tanzania.

 

AFROSWAGGA: Ni vipengele vipi ambavyo mtachuana katika shindano hili?

THOM: Hapa kuna categories tofauti ambazo ni Best runway catwalk, swimsuit competition, national costume pamoja na online social media challenge.

AFROSWAGGA: Juu ya social media challenge, Watanzania wanaweza shiriki vipi kukusupport?

THOM: Watanzania wote wanaweza nisupport hapa kwa kupiga kura. Hapa ni kwa kuingia page ya Mister Model World Wide IG: @mistermodelworldwide Facebook: Mister Model World Wide  nakucomment kwenye picha yangu ya ushiriki kwa kuandika #mistermodelworldwide pia wanaweza kurepost katika pages zao, Instagram na Facebook stories ili watu wengi zaidi waweze ona na kunisupport zaidi.

AFROSWAGGA: Maandalizi kwako yanaendeleaje? Pia kipengele cha national costume umejipanga vipi?

THOM: Kwa sasa bado maandalizi. Na kuhusu swala la national costume, kampuni/mbunifu toka nchini ya mavazi asilia ambayo ingependa kushirikiana nami hii hi fursa kwao, nawahitaji kwa wingi maana muda muafaka ndio huu.

Interview Done By @willibard_jr


Related posts

4 Comments

  1. roof skylight

    … [Trackback]

    […] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/mister-model-worldwide-interview-with-thom-nguka/ […]

  2. buy Psilocybe Azurescens spores

    … [Trackback]

    […] Read More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/mister-model-worldwide-interview-with-thom-nguka/ […]

  3. tree mushrooms edible

    … [Trackback]

    […] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/mister-model-worldwide-interview-with-thom-nguka/ […]

  4. https://www.heraldnet.com/reviews/phenq-reviews-is-it-legit-update/

    … [Trackback]

    […] Find More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/mister-model-worldwide-interview-with-thom-nguka/ […]

Comments are closed.