Tunakaribia kumaliza mwaka 2017 na kuingia mwaka 2018 kuna mitindo ambayo tutaibeba na kwenda nayo na kuna mingine ambayo tunaona hapana naibaki tu mwaka huu tuvuke na mingine mizuri zaidi.
- Nguva a.k.a Masamaki – kwa hapa kwetu Tanzania ni kama hamna design nyengine za nguo za kuvaa zaidi ya masamaki utakesha unayaona kwa ma bibi harusi, wedding guest’s na hata red carpets like jamani kuna jumpsuits, kuna two pieces outfit za kuvaa na kubuni tuache uvivu basi tujaribu na huko. kila mbunifu akibuni masamaki nani tutapata wapi ushindani?
- Payjamas – Zilikua all nice and lovely mpaka zilipo kuwa too much na kuboha, kila mtu kavaa na wengine hawajui hata kuzi style vizuri well can we let them rest and just be a sleeping outfit as it was? thank you
- Wigs ambazo haziwi bonded vizuri – hii tunaweza kumlaumu hair stylist pamoja na mteja mwenyewe unapo ona umewekwa nywele haija kaa complain well umelipia hela si ndio? na kama ni Celebrity ndio kabisa utaonekana kituko na fans wako, tunaweza kusema Amber Rose ana upara lakini tunamuamini akivaa fake hair, do us a favor and learn namna ya kuzivaa.
Kwenda kwenye shughuli bila kujua theme au kuijua na kwenda tofauti nayo – ulifauluje darasani? you better put some brains kwenye fashion pia.
Alamseek.
Related posts
7 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/mitindo-tunayo-iacha-mwaka-2017/ […]
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/mitindo-tunayo-iacha-mwaka-2017/ […]
… [Trackback]
[…] Find More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/mitindo-tunayo-iacha-mwaka-2017/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/mitindo-tunayo-iacha-mwaka-2017/ […]
… [Trackback]
[…] Here you can find 90639 more Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/mitindo-tunayo-iacha-mwaka-2017/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 84133 more Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/mitindo-tunayo-iacha-mwaka-2017/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/mitindo-tunayo-iacha-mwaka-2017/ […]