SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

MITINDO YA KUIACHA 2015 ISIVUKE 2016
Mitindo

MITINDO YA KUIACHA 2015 ISIVUKE 2016 

Kuna mitindo mingi ilikuwepo 2015 ilishika trendy sana lakini imetosha sasa tuvuke 2016 na vitu vipya hii ni baadhi tu ambayo tumeona enough is enough iishie huku huku

Distressed Jeans/ Suruali Za Kuchanwa chanwa

Mwaka 2015 zimevaliwa sana si na wa kiume wala wa kike imetosha tupate staili nyingine ya jeans wengine tulikua tuna zichana wenyewe na wengine zilivuka mipaka. 2016 tuingie na staili nyingine tafadhali

Distressed-jeans-326x410

 

Dressy Sweatpants/Kuvaa suruali za mazoezi kama mtoko

Hii nayo 2015 ime trend sana wengine tulivaa hadi na high heels tafadhali 2016  usiivae imepitwa na wakati na sio tu kupitwa na wakati haivutii pia. sweatpants ime buniwa kwa ajili ya mazoezi na nguo za mitoko zina julikana pia.

slide_469114_6378016_compressed

Sheer Dresses a.k.a. Naked Dresses/ Nguo za kuonyesha miili

Hizi jamani zibaki tu 2015 zimekua too much mwishoe tutabaki kama tulivyo zaliwa zina onyesha mno, tulizo ziona zina tosha, zilivutia na tulipendeza basi yaishe huku huku.

slide_469114_6378026_compressed

Waist-trainers/ Mikanda ya Kupunguza Tumbo

Mizuri ina tupa umbo namba nane lakini haimaanishi tupo salama, zina madhara makubwa kama kweli unataka kupendeza tolea jasho fanya mazoezi badala ya madhara mwili wako utakua salama na bora zaidi kuliko kuwa mvivu na kuvaa hii mikanda kisha ukapata madhara, imeuzwa sana 2015, 2016 tusiwatajilishe watu kwa kununua hii mikanda.

tumblr_inline_nzq9p5S4bL1scfwd3_540.png.cf

 

Related posts

5 Comments

  1. mj420.delivery

    … [Trackback]

    […] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/mitindo-ya-kuiacha-2015-isivuke-2016/ […]

  2. turkey tail 1000 mg

    … [Trackback]

    […] Read More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/mitindo-ya-kuiacha-2015-isivuke-2016/ […]

  3. dolly4d

    … [Trackback]

    […] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/mitindo-ya-kuiacha-2015-isivuke-2016/ […]

  4. investigate this site

    … [Trackback]

    […] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/mitindo-ya-kuiacha-2015-isivuke-2016/ […]

Leave a Reply